TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, June 28, 2016

Audio Mpya kabisa: Nimempata Mwenye Maslahi - Prince Black Kopa


Nimekuletea Single mpya kabisa kutoka kwa mtoto wa Malkia wa Mipasho Tanzania, Africa Mashariki, Africa na Dunia nzima (Kama unabisha ulizia utaambiwa).

Single inakwenda kwa jina la "NIMEMPATA MWENYE MASLAHI"

Isikilize na kudownload hapa kusikia zaidi amempata mwenye Maslahi gani???


Kumbuka ni nyimbo kalikali tu kutoka OGOPA KOPA CLASSIC BAND.