TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, September 13, 2016

New Audio: Shadya Shombeshombe - Mumeo Sagura sagura (Ogopa Kopa Classic)

Leo Mpenzi wa Taarab - Nyimbo tabu za mwambao nakuletea nyimbo nzuri, tamu kabisa kutoka kwa mwanadada anayekwenda kwa jina la Shadya Shombeshombe kutoka ndani ya Ogopa Kopa Classic
Nyimbo iko poa sana unaweza kuisikiliza na kuipakua ukawa nayo.