Mama mlezi wa Dar Modern Taarab Mrs Nahiy.A Fereshi amefiwa na baba yake mzazi al maarufu mzee kidole jana katika hosipitali ya Hindu mandal.
Marehemu anatalajiwa kuzikwa Matombo Morogoro kesho jumamosi.
Friday, May 29, 2015
Wednesday, May 27, 2015
King's Modern Taarab yakamilisha nyimbo Tatu kali...!!!!
King's modern taarab baada ya
kusimama kwa muda mrefu hivi sasa imekamilisha nyimbo tatu kali na inatalajia
kuanza kuzifanyia video wiki hii ambayo inaelekea mwishoni mwa mwezi wa tano.
Akiongea na mtandao huu wa
taarabuzetu.blogspot.com mkurugenzi wa bendi hiyo Bw. Nassoro a.k.a Kijoka
amesema kwa hivi sasa wako kwenye mazoezi ya nguvu wakijipanga kuwapa wapenzi
na mashabiki wao radha ile ile ya King's muda si mrefu.
Kaa mkao wa kiburudani zaidi
kusubiria Nyimbo pamoja na Video nzuri kabisa kutoka bendi yako ya King,s,
baada ya nyimbo kutoka ni mfurulizo tu wa burudani…!!!
Monday, May 18, 2015
Modern Taarab nani zaidi 2015 yaja...!!!
Aliebuni
mpambano wa Modern Taarab nani zaidi 2007 Bw Emmanuel Kalugira aeleza nia yake
ya kuurejesha tena mwaka huu baada ya mpambano huo kupolwa na times fm mwaka
2009 baada ya kuupeleka times fm mwaka 2008.
Bw
Emmanuel ameuambia mtandao huu wa taarabuzetu.blogspot.com kuwa, baada ya kituo
alichofanya nacho mwaka 2007 cha C2C tv kubadilisha uongozi wake na ungozi
ulioingia kutokua na upenzi na jambo hilo ilio mpelekea kuwasiliana na kituo
cha time fm kuwaomba washilikiane kulifanya mwaka 2008.
Baada ya
hapo uongozi wa times fm ukatoa kauli zinazosema uongozi haukotayali
kushilikiana na mtu katika jambo hilo ndio likazaliwa tamasha la “Mitikisiko ya
Pwani”.
Saturday, May 16, 2015
Jitokezeni kwenye maonyesho ya 5stars - Ally J...
![]() |
Mkurugenzi wa 5Stars Ally J akiwa anawajibika jukwaani. |
Akiongea na Taarabuzetu.blogspot.com Bw Ally J amesema pamoja na misukosuko ilioikuta bendi hiyo lakini ameamua kusimama kidete kuhakikisha bendi hiyo inasimama imara ili kulinda ajira za wasanii wake wanaojipatia vipato vyao kutokana na vipaji vyao.
Ally J amewataka wapenzi wa taarab kujitokeza kwa wingi kwenye maonyesho yao na kuyaomba makampuni, mashirika na taasisi kujitokeza kudhamini maonyesho yao pamoja na bendi ili kunusulu ajira za wasanii wa bendi hiyo.
Wednesday, May 13, 2015
HAWA NDIO WASANII WALIOTEULIWA KUWANIA TUZO ZA KTMA 2015. TENDA HAKI KATIKA KUWACHAGUA...!!

Baada ya mchakato wa muda mrefu kupokea maoni ya wapenzi na wadau wa muziki ili kutengeneza vipengele vya tuzo za mwaka huu, hatimae listi imetoka. Hawa hapa ndio wasanii watakao wania tuzo za mwaka huu.
Orodha ya wasanii waliongia katika kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music Awards 2015:
MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA-
KIUME
1. Mzee Yusuf
2. Christian Bella
3. Diamond Platnumz
4. Ally Kiba
1. Mzee Yusuf
2. Christian Bella
3. Diamond Platnumz
4. Ally Kiba
MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA-
KIKE
1. Vanessa Mdee
2. Khadija Kopa
3. Isha Mashauzi
4. Shaa
5. Dayna Nyange
1. Vanessa Mdee
2. Khadija Kopa
3. Isha Mashauzi
4. Shaa
5. Dayna Nyange
3.MWIMBAJI BORA WA KIUME - TAARAB
1. Mzee Yussuf
1. Mzee Yussuf
MWIMBAJI BORA WA KIUME - BONGO FLEVA
1. Ali Kiba
2. Ben Pol
3. Jux
4. Diamond
5. Belle 9
1. Ali Kiba
2. Ben Pol
3. Jux
4. Diamond
5. Belle 9
MWIMBAJI BORA WA KIUME - BENDI
1. Jose Mara
2. Kalala Junior
3. Khalidi Chokoraa
4. Chaz Baba
5. Nyoshi El Sadat
1. Jose Mara
2. Kalala Junior
3. Khalidi Chokoraa
4. Chaz Baba
5. Nyoshi El Sadat
MWIMBAJI BORA WA KIKE - TAARAB
1. Khadija Kopa
1. Khadija Kopa
MWIMBAJI BORA WA KIKE - BONGO FLEVA
1. Lady Jaydee
2. Vanessa Mdee
3. Linnah
4. Grace Matata
5. Malaika
1. Lady Jaydee
2. Vanessa Mdee
3. Linnah
4. Grace Matata
5. Malaika
MWIMBAJI BORA WA KIKE - BENDI
(Hakukuwa na washindani)
(Hakukuwa na washindani)
WIMBO BORA WA TAARAB
1. Hasid Hana Sababu – Hadija Yussuf
1. Hasid Hana Sababu – Hadija Yussuf
WIMBO BORA WA MWAKA
1. Mwana – Ali Kiba
2. Nani kama Mama – Christian Bella
3. Gere – Weusi
4. Nitasubiri – Jux
5. Bongo Hip Hop – Fid
WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1. Otilia – FM Academia
2. Kiu Ya Haki – Mashujaa Band
3. Sauti ya Marehemu – Mapacha Watatu
4. Ganda la Muwa – Twanga Pepeta
5. Wale Wale – Vijana Ngwasuma
1. Otilia – FM Academia
2. Kiu Ya Haki – Mashujaa Band
3. Sauti ya Marehemu – Mapacha Watatu
4. Ganda la Muwa – Twanga Pepeta
5. Wale Wale – Vijana Ngwasuma
WIMBO BORA WA R&B
1. Nitasubiri – Jux
2. Unanichora – Ben Pol
3. Vitamin Music – Belle 9
4. Sisikii – Jux
5. Ni Penzi – Damian Soul
1. Nitasubiri – Jux
2. Unanichora – Ben Pol
3. Vitamin Music – Belle 9
4. Sisikii – Jux
5. Ni Penzi – Damian Soul
WIMBO BORA WA HIP HOP
1. Bongo Hip Hop – Fid Q
2. Mfalme – Mwana FA
3. Kipi Sijasikia – Proffesor Jay
4. Gere – Weusi
5. I See Me – Joh Makini
6. XO – Joh Makini
1. Bongo Hip Hop – Fid Q
2. Mfalme – Mwana FA
3. Kipi Sijasikia – Proffesor Jay
4. Gere – Weusi
5. I See Me – Joh Makini
6. XO – Joh Makini
WIMBO BORA WA REGGA/DANCE HALL
1. Let Them Know – Maua
2. Mama Afrika – Warriors From The East
3. Maisha Magumu – Warriors From The East
4. Greeting For You – Ras Six
5. Tujimwage – Deddy
1. Let Them Know – Maua
2. Mama Afrika – Warriors From The East
3. Maisha Magumu – Warriors From The East
4. Greeting For You – Ras Six
5. Tujimwage – Deddy
RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
1. Ferguson
2. Msafiri Diouf
3. Sauti ya Radi
4. J4
5. Kabatano
1. Ferguson
2. Msafiri Diouf
3. Sauti ya Radi
4. J4
5. Kabatano
MTUNZI BORA WA MWAKA- TAARABU
1. Mzee Yusuf
1. Mzee Yusuf
MTUNZI BORA WA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Ally Kiba
2. Diamond
3. Ben Pol
4. Barnaba
5. Jux
1. Ally Kiba
2. Diamond
3. Ben Pol
4. Barnaba
5. Jux
MTUNZI BORA WA MWAKA- BENDI
1. Jose Mara
2. Nyoshi El Saadat
3. Rogart Hegga Katapila
4. Hussein Jumbe
5. Richard Mangustino
1. Jose Mara
2. Nyoshi El Saadat
3. Rogart Hegga Katapila
4. Hussein Jumbe
5. Richard Mangustino
MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP
1. Fid Q
2. Mwana FA
3. Joh Makini
4. Nikki wa Pili
5. Kala Jeremiah
1. Fid Q
2. Mwana FA
3. Joh Makini
4. Nikki wa Pili
5. Kala Jeremiah
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA
NYIMBO WA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Nahreel
2. Man Water
3. Mesen Selekta
4. Tudd Thomas
5. Marco Chali
1. Nahreel
2. Man Water
3. Mesen Selekta
4. Tudd Thomas
5. Marco Chali
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA
NYIMBO WA MWAKA- TAARAB
1. Enrico
1. Enrico
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA
NYIMBO WA MWAKA- BENDI
1. Allan Mapigo
2. Enrico
3. Said Comorien
4. Amoroso
5. Ababuu Mwana Zanzibar
1. Allan Mapigo
2. Enrico
3. Said Comorien
4. Amoroso
5. Ababuu Mwana Zanzibar
VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1. Mdogo Mdogo – Diamond
2. Nitampata Wapi – Diamond
3. Mwana – Ally Kiba
4. Olethemba – Linah
5. Asante – AY
1. Mdogo Mdogo – Diamond
2. Nitampata Wapi – Diamond
3. Mwana – Ally Kiba
4. Olethemba – Linah
5. Asante – AY
WIMBO BORA WA AFRO POP
1. Mwana – Ali Kiba
2. Mdogo Mdogo – Diamond
3. Niseme – Yamoto Band
4. Nitakupwelepweta – Yamoto Band
5. Kanyaboya – Mesen Selekta
6. Hawajui – Vanessa Mdee
1. Mwana – Ali Kiba
2. Mdogo Mdogo – Diamond
3. Niseme – Yamoto Band
4. Nitakupwelepweta – Yamoto Band
5. Kanyaboya – Mesen Selekta
6. Hawajui – Vanessa Mdee
WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
1. Nani Kama Mama – Christian Bella
2. Basi Nenda – Mo Music
3. Nitampata Wapi – Diamond
4. Nasimama – Lady Jaydee
5. Historia – Lady Jaydee
1. Nani Kama Mama – Christian Bella
2. Basi Nenda – Mo Music
3. Nitampata Wapi – Diamond
4. Nasimama – Lady Jaydee
5. Historia – Lady Jaydee
.WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA
KITANZANIA
1. Waite – Mrisho Mpoto
2. Vuma – Vitalis Maembe
3. Tumetoka Mbali – Jagguar Music
4. Mama Shabani – Ifa Band
5. Omwana – B.K Sande
1. Waite – Mrisho Mpoto
2. Vuma – Vitalis Maembe
3. Tumetoka Mbali – Jagguar Music
4. Mama Shabani – Ifa Band
5. Omwana – B.K Sande
MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKIA
1. Baraka Da Prince
2. Beka Tittle
3. Afromaniac
4. Alice
5. Billnas
1. Baraka Da Prince
2. Beka Tittle
3. Afromaniac
4. Alice
5. Billnas
.WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA
1. Forever – Lady Jaydee ft Dabo
2. Mfalme – Mwana FA fr G-Nako
3. Kipi Sijasikia – Prof Jay ft Diamond
4. Kiboko Yangu – Mwana FA ft Ali Kiba
5. Kerewa – Shetta ft Diamond
1. Forever – Lady Jaydee ft Dabo
2. Mfalme – Mwana FA fr G-Nako
3. Kipi Sijasikia – Prof Jay ft Diamond
4. Kiboko Yangu – Mwana FA ft Ali Kiba
5. Kerewa – Shetta ft Diamond
BENDI BORA YA MWAKA
1. FM Academia
2. The African Stars
3. Mapacha Watatu
4. Mashujaa Band
5. Msondo Ngoma
1. FM Academia
2. The African Stars
3. Mapacha Watatu
4. Mashujaa Band
5. Msondo Ngoma
KIKUNDI BORA CHA MWAKA- TAARAB
1. Jahazi Modern Taarab
2. Mashauzi Classic
3. Dar Modern Taarab
4. Five Stars
1. Jahazi Modern Taarab
2. Mashauzi Classic
3. Dar Modern Taarab
4. Five Stars
KIKUNDI BORA CHA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Yamoto Band
2. Weusi
3. Navikenzo
4. Makomando
5. B.O.B
1. Yamoto Band
2. Weusi
3. Navikenzo
4. Makomando
5. B.O.B
Friday, May 8, 2015
Monday, May 4, 2015
Bw Bahati Singh akanusha kuwa yeye ni Mkurugenzi wa wa Dar Modern Taarab - Isome hapa usikie alichosema...
![]() |
Mr Bahati Sigh |
Mkurugenzi mkuu wa on point solutions limited Bw
bahati singh akanusha uvumi ulioenea ukidai yeye ndie mkurugenzi wa dar modern
kwa sasa.
Akitoa ufafanuzi juu ya swala hilo Bw singh ameuambia mtandao huu wa taarabuzetu.blogspot.com kuwa, kampuni yake
imefanya makubaliano na bendi hiyo ya Dar Modern wa kuratibu maonyesho sita na baada ya hapo
itatazama kama ipo haja ya kuendelea na uratibu huo.
Bw singh amesisitiza yeye
sio mkurugenzi wa Dar modern ila kampuni yake ndio inayoratibu ujio mpya wa Modenika na Dar Modern Taarab.
Sunday, May 3, 2015
Friday, May 1, 2015
Mzee Yusuf: Ni wakati mzuri wa kupunguza marafiki wanafiki...
Sikua na fikra kua ntafika hapa nilipo wakati naanza ilikua
mbinde we ukiimbe nini we katika waimbaji utaingia wapi nikasema nathubutu,
kipendacho roho ikanitambulisha kwa wananchi na mashabiki wa mziki huu wa
morden taarab ambao leo umevamiwa mpk na masela na ma sister duu. Ilikua hivi
hadi leo miaka kumi na moja.
Nafafanua kuimba niliimba miaka ya 90 nikiwa na kikundi
chetu flani nikaimba G Cleef nikaenda E A Melody kote huko niliimba na siku
record lkn mana nikiongeza yote ntakua na miaka mingi.
Kwa leo naitambua hii walonijua watu kisawa sawa ahsanteni
niliitwa Professor mpk leo Mfalme Mzee wa starehe.
Ahsanteni sana kwa saport yenu nyote.
Pia ni wakati mzuri wa kupunguza marafiki wanafiki. Ambao
wapo humu kwa maslahi yao.
Jahazi Modern Taarab kuzindua Albam mpya...
![]() |
Waimbaji wa Jahazi Modern Taarab. |
Kuna tetesi jahazi modern taarab wanampango wa
kuzindua albam yao mpya mwanzo wa mwezi huu wa tano, jina la ukumbi, tarehe na siku
bado havijajulikana.
Mtandao huu umejaribu kuutafuta uongozi wa Jahazi kuthibitisha hili lakini haukufanikiwa, zaidi tutawajuisha wapenzi wa Jahazi Modern Taarab.
Mtandao huu umejaribu kuutafuta uongozi wa Jahazi kuthibitisha hili lakini haukufanikiwa, zaidi tutawajuisha wapenzi wa Jahazi Modern Taarab.