Bendi tano za miondoko ya taarabu zilitoa burudani ya nguvu ambayo iliwafanya mashabiki wa miondoko hiyo washindwe kutulia katika viti vyao. Zifuatazo ni picha kadhaa katika matukio tofauti, Kundi la Supershine ndo lilikuwa la kwanza kutoa burudani na Stail ya Ngoma ya Kimwera.
Mwimbaji wa bendi ya Super Shine, Queen Salma akifungua pazia la burudani. |
Nuru Moshi wa Super Shine akitoa
burudani.…
|
Waimbaji wa Super Shine wakiimba.
|
Ally J wa kundi la Five Star akiimba jukwaani. |
Maua Tego wa Five Star akitoa burudani... |
Fatma Machupa wa Jahazi akifanya vitu vyake. |
Fatma Mahamud wa Jahazi akitoa burudani kwa mashabiki... |
| ||
Waimbaji wa Mashauzi Classic wakiimba... |
Hashim Saidi Igwee akifanya vitu vyake jukwaani... |
MC wa Shughuli nzima, Dida akiwakilisha kazi yake... |
Mashabiki alijitokeza kwa wingi kupata burudani ya uhakika... Full Bata...!! |
1 comments:
kwakeli makundi machache ndio yamefanya vizuri lakini la mwisho halukutenda haki kwa washabiki
Post a Comment