| Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Dar Live katika Sikukuu ya Eid Mosi. |
| Fatma Kassim akiwapa raha mashabiki wa Dar Live. |
| Mfalme Mzee Yusuf akipelekeshana puta na wanenguaji wake wakati wa shoo hiyo ndani ya Dar Live. |
| Mfalme Mzee Yusuf na malikia wake, Leila Rashid wakinogeshana jukwaani. |
| Mfalme Mzee Yusuf akifanya yake kwenye kinanda. |
0 comments:
Post a Comment