Ajifungua kwa Operation. |
Aysher Othman akiwa bado na Mimba, wakati huo hajui atajifungua mtoto wa aina gani, Hongera zake kwa uvumilivu wote akiwa mja mzito. |
Pongezi toka facebook kwake Monte Hakunaga... |
Pongezi toka facebook kwake Maureen Mnyele... |
Baby Girl, karibu katika Ulimwengu wa "mateso" lakini tutakulinda mpaka hapo utakapokuja kujua mema na mabaya. Timu nzima ya blog hii www.taarabuzetu.blogspot.com inatoka pongezi nyingi sana kwa mama ...., bibie Aysher kwa kupata mtoto, pia pole sana kwa kujifungua kwa Operation. |
0 comments:
Post a Comment