Baadhi ya wasanii wa Gusagusa Min Band wakiongozwa na Bi Afua Suleiman B52. |
Akizungumza na taarabuzetu.blogspot.com Mmiliki wa kampuni ya "Whatever Film Production" ambayo imefanya video hiyo "Mr Mwaila" amesema huo ni mwanzo tu wakuwaletea wapenzi wa taarabu video nzuri na zenye kiwango.
Kwa upande wa Gusagusa Min Bend wenyewe wamesema hivi karibuni wataiachia video hiyo katika Televisheni mbalimbali hapa nchini na nchi za jirani ili wapenzi wapate burudani, na pia katika Blog hii ya Taarabu Zetu itakuwepo... Stay Tuned...!!!
0 comments:
Post a Comment