Baada ya mwili kufika, japo ulichelewa ulifanyiwa maandalizi ikiwa pamoja na kuagwa kwa ndugu na jamaa walioko Tabora na baadae mida ya saa moja (1:00) usiku. |
MAMAA NYAWANA AMEPUMZISHWA KATIKA MAKAZI YAKE YA MILELE KATIKA MAKABURI YA ITETEMYA MKOANI TABORA NJE KIDOGO NA MJI.
MAZISHI YALICHELEWA KUTOKANA NA KUCHELEWA KUWASILI KWA MWILI WA MAREHEM.
|
"MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU NYAWANA FUNDIKIRA".
2 comments:
inauma wallahi.. yan kama ndoto vile.. tumabaki na sauti tu mwenyewe hatunae tena
inauma wallahi.. yan kama ndoto vile.. tumabaki na sauti tu mwenyewe hatunae tena
Post a Comment