![]() |
Waimbaji Nyota wa Supershine, Naima Yusuph, Nuru Moshi na Mosi Abdul wakiwa mazoezini kwa maandalizi ya sikukuu ya Idd. |
![]() |
Supershine wakiwa katika maandalizi ya Idd. |
![]() |
Abdalah Haji.(Bwigabwiga) akiwa makini na kazi yake |
![]() |
Ally Mikidadi atakonya vilivyo nyoyo za wapenzi wa taarabu siku ya Idd!! |
![]() |
Hassan Zuma na Zainab Mteza wakiwa tiyari kabisa kwa burudani ya ukweli... |
![]() |
Shabani Madobe. Mtaalamu na Mkongwe katika gemu hili ataburudisha vya kutosha. |
![]() |
Salehe Mussa. Hapa inajieleza kazi yake ni moja tu... |
![]() |
Nuru Moshi. Sauti nzuri, burudani mwanzo mwisho... |
![]() |
Naima Yusuph. Ataonesha maajabu katika sauti yake, Utaipenda... |
0 comments:
Post a Comment