![]() |
| Kaptaini-Temba-&-Mkurugenzi wa Mashauzi Pub, Mama-Shija wakiweka pouse kwenye kamera ya Taarabu Zetu katika uzinduzi wa Mashauzi Pub jana 17 August maeneo ya Vingunguti Dar es Salaam. |
![]() |
| Kaptaini-Temba akitoa Burudani... |
![]() |
| Mdau mkubwa-Mama-Zeka.. alikuwepo kushuhudia uzinduzi. |
![]() |
| Nyawana,-Mama-Shija-&-Mc-Jojoo |
![]() |
| Nyawana akitoa burudani...! |
![]() |
| Mdau mama Double S akiwa na wadau wengine... |
![]() |
| Queen-Salma mwimbaji wa Supershine alitoa burudani. |
![]() |
| Papaa-Rajabu-na-Mdau mwingine wakipouse kwa Kamera ya Taarabu Zetu... |








0 comments:
Post a Comment