![]() |
Ashura Machupa akiimba, kushoto nyuma (Nguo Nyeusi) ni Zainabu Machupa. |
Muimbaji wa kutegemewa wa Fungakazi Modern Taarabu, Zainabu Machupa
amejiunga na bendi ya G5 Modern Taarabu.
Akizungumza na mtandao wa
taarabuzetu.blogspot.com msanii kiongozi wa bendi hiyo ambae hakupenda kutajwa jina lake
amesema kwamba Zainabu ni msanii mzuri ndio maana tumeamua kumchukua.
Zainabu Machupa alikuwa katika bendi ya Fungakazi Modern Taarabu na ameimba nyimbo 2.
Mkurugenzi wa Fungakazi Kapteni Temba hakupatikana kuzungumzia suala hili.
0 comments:
Post a Comment