 |
Omary Tego |
Nguli wa muziki wa taarabu Tanzania na mkurugenzi wa Coast modern Taarabu
Omary Tego amefunguka na kusema kwamba katika maisha yake anamuogopa
sana paka kuliko mbwa.

Aliyasema hayo mbele ya mwanahabari wa
taarabuzetu.blogspot.com, alifafanua kwamba paka amekuwa akitafsiriwa
vibaya mitaani kwamba kwa kiasi kikubwa amekuwa akitumika katika mambo
mengi ya kishirikina jambo linalonifanya nimuogope sana, kwani mimi na
mambo hayo ndumba tofauti kabisa kabisa ndugu yangu.
Huyo ndio Omary Tego the Specialy one mkurugenzi wa Coast modern Taarabu ya jijini Dar!.
Eti anaogopa paka!!.