
Akizungumza na mtandao makini wa taarabuzetu.blogspot.com Zubeda alisema kwamba huyo ni mtoto wake wa pili kumzaa, mtoto wake wa kwanza anaitwa Nazra ambaye ni wa kike na huyu wa pili ni wakiume anaitwa Nasri.
Namshukuru sana mwenyezimungu kwani amenijaalia kupata mtoto wakiume salama usalimini, kwa sasa nipo nyumbani kwangu Tabata na mtoto wangu.
Zubeda Mlamali ni msanii wa Melody kwa sasa.
Hongera sana Zubeda Mlamali.
0 comments:
Post a Comment