TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, September 25, 2014

Download na kusikiliza nyimbo mpya ya Isha Mashauzi - Nimlaumu Nani...!!!!


NI NYIMBO MPYA TOKA KWA ISHA MASHAUZI AKIWA KAIMBA KATIKA MIONDOKO YA RHUMBA.

ANASEMA NI KATIKA KUWAONESHA TU KUWA RHUMBA PIA ANAWEZA...!!!

##ISIKILIZE KISHA UMPE POINT ZAKE.

3 comments:

Anonymous said...

binafsi haijanigusa...kipaji anacho lakini aimbe tu Taarab, rhumba aachie twanga pepeta

Unknown said...

Hii imeonyesha unavipaji vingi ukivitumia vizuri utafika mbali zaidi kuwa mbunifu zaidi,HONGERA

yusuph said...

Hongera mdada jike la simba kutoka musoma penda Sana wewe.

Post a Comment