TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, August 25, 2015

Download Nyimbo Mpya ya Professor - "I love u mara millioni". Kuna watu wanaimba bwana...!!!!


Anaitwa Professor MK katoa kibao chake murua cha Taarab.
Katika kuonesha umahiri wake, nyimbo inaitwa "I love u mara millioni" ni msanii kutoka Wajela jela Zanzibar.

Download na kusikiliza hii nyimbo safi kabisa, kuna watu kumbe wapo wanaimba...!!!

1 comments:

the links said...

safi ila kama shauri warahisishie watu kudowload kwa simu zao kama utahitaji msaada juu ya hilo nichek kwa fb yangu follow iyo link hapo https://www.facebook.com/fullbwax

Post a Comment