TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Saturday, March 22, 2014

DOWNLOAD NA KUSIKILIZA: Nyimbo Nne (4) mpya za Dar Modern...

Kundi la Dar Modern ndo habari ya mjini kwa sasa...

Hapa wanakupa fulsa ya kusikiliza na Kudownload nyimbo zao mpya kabisa ambazo ni gumzo katika vituo mbalimbali vya Radio nchini.

Blog hii ya taarabuzetu.blogspot.com inakupa nyimbo hizo na zingine zinafuata siku nyingine, usikae mbali...!!

1 comments:

Unknown said...

asante kwa kuona hivyo, bado nyingine ya siwanyimi uzuri ya mwanahawa ally,siamini macho yangu,ngoma imepasuka, ntashkuru sana na ya isha sijaiona ya asiyekujua hakuthamini

asanteni!!!!!!!!!!

Post a Comment