TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, December 8, 2013

MSANII WA GUSAGUSA MIN BAND AANGUKA STEJINI...

Muimbaji Adija Kibaiya wa bendi ya Gusagusa Min Bendi ameanguka katika steji siku ya jumamosi kwa kinachosemekana ni pressure. 

Muimbaji huyo ambae ndio tegemeo alipata tatizo hilo akiwa anaimba juu ya steji, alianza kuona kiza mbele na viungo kumlegea mpaka kufikia kuanguka chini, chanzo chetu cha habari toka ndani ya bendi hiyo kinaendelea kwa kusema, baada ya kupatwa na tatizo hilo. viongozi wa bendi walimkimbiza hospitali na kupatiwa huduma ambayo ilimsaidia kurudi katika hali yake ya kawaida. 

Taarabuzetu tunatoa pole kwa Adija juu ya tatizo hilo.

0 comments:

Post a Comment