TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Wednesday, December 11, 2013

T MOTO haina mpango wa kujibu wimbo wa Sitaki shari...

Jokha Kassim
Mkurugenzi wa T Moto Amin Salmin amesema T Moto haina mpango wa kuijibu nyimbo ya Sitaki Shari.

Salmin aliyasema haya kwa kusema:-
Kama nilivyo ahidi kutegua kitendawili, T MOTO kama T MOTO haina mpango wa kujibu wimbo wa Sitaki shari kwani kiwango chake kiko chini mno mbele ya Domo la Udaku,

Kwamaana hiyo JOKHA KASSIM ATATOKA NA NYIMBO YENYE KISA CHA KWELI YALIOMKUTA NA JINA LA NYIMBO HIYO NI "KUNA MUNGU NA SIO MIUNGU",
Yanini unaitaka roho yangu ,kikifa utapata faida gani, wewe hauna urithi kwangu kukeni wala kiumeni,

Hayo ni maneno ya Mkurugenzi Amin yakiwa na majigambo ya kujiamini.
Anawaomba mashabiki kusubiri nyimbo na wajribu kuringanisha kama kutakuwa na nyimbo zaidi ya hii...!!

1 comments:

Anonymous said...

jokha na salmin mbona mnapenda kumfatafata mzee na mke wake wao wala hawana time na nyinyi malimbukeni wa mapenzi,ilo domo la udaku mashairi umetoa kwenye sina mda huo.ebu muwaache mzee na leyla wajinafasi kwanza jokha anaongea cio anaimba.

Post a Comment