TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, December 8, 2013

BAADA YA KUJIENGUA TOKA MASHAUZI.. THABIT ABDUL AANZISHA BENDI YAKE MWENYEWE...

Thabit Abdul
Mpiga kinanda maarufu hapa nchini Thabit Abdul amefanikiwa kuanzisha bendi yake na tayari imeshaanza kufanya maonesho yake! 
Bendi hiyo ambayo ameipa jina la "WAKALI WAO MODERN TARADANCE" imeanza kwa kutumbuiza nyimbo za COPY lakini Thabit ameuambia mtandao huu kwamba kuanzia jumatatu wataanza kutengeneza nyimbo zao wenyewe na wapenzi wategemee burudani nzuri sana toka katika bendi yangu.

Bendi hiyo kwa sasa ina show tatu kwa wiki, na juhudi zinaendelea ili kuongeza idadi ya show. 
Thabit alimaliza kwa kusema sina star katika bendi hii.

0 comments:

Post a Comment