TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, November 11, 2013

BAD NEWS: NYAWANA KAIS FUNDIKIRA KAFARIKI...!!!


Nyawana enzi za uhai wake.
Ni habari za kusikitisha na kuhudhunisha tumezipata muda huu kuwa Nyawana Fundikira (Malkia wa Kinyamwezi) amefariki.

Taarabu Zetu imeongea na mume wa Nyawana ambaye ni Kais Musa na kuthibitisha kutokea kwa kifo cha mkewe.

Nyawana amefariki leo mida ya saa 8 akiwa Mwananyama Hospitali na msiba utakuwa Mwananyamala Nyumbani kwake.

Mungu amlaze mahali pema peponi... Amina.

Kumbukia Nyimbo yake kwa kuisikiliza hapa:-

Nyimbo inaitwa:- Shetani Kataja Jina

2 comments:

Unknown said...

duu maskini yake mbele yetu nyuma, Mngu amlaze pema penye wema, wabaya wamemuua malkia wa kinyamwezi..inauma jamani..RIP Nyawana Fundikira

Anonymous said...

Kila nafsi itaonja umauti mbele yake nyuma yetu,dua tunakuombea ulale mahala pema peponi,Amina..

Post a Comment