TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, November 1, 2013

TETESI:- MLIDU ALLY KURUDI DAR MODERN TAARABU..

Baada ya kuonekana wazi kwamba bendi ya Dar Modern Taarabu imekosa mwelekeo tokea Mlidu Ally kutoka kundini, uongozi wa bendi hiyo upo mbioni kumrudisha tena ili kuleta chachu na ushindani mkubwa uliopotea. 

Taarifa za ndani zilizopatikana toka katika uongozi huo zinasema kiongozi mmoja wa juu alishauri kurudishwa mara moja kwa mpiga gitaa huyo ambae pia alikuwa kiongozi wakati yupo Dar Modern. 

Bendi hiyo kwa sasa imepoteza wapenzi na imekuwa haina mvuto hata inapofanya show katika ukumbi wake wa nyumbani wa lango la jiji magomeni mikumi wamekuwa hawapati wapenzi.

1 comments:

Anonymous said...

Bendi.inaendeshwa kwa majungu unafikiri itapanda vp ndio basi tena imebaki story

Post a Comment