TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, November 10, 2013

WASANII WATATU WASIMAMISHWA 5 STARS KWA UTOVU WA NIDHAMU..

Zena Mohamed
Bendi ya 5 Stars ambayo ilifanya ziara hivi karibuni katika mikoa ya Mbeya, Sumbawanga na Mpanda, imewasimamisha wasanii watatu kwa utovu wa nidhamu waliouonyesha kipindi wapo katika ziara hiyo. 
 

Mpelelezi wetu aliyejichomeka ndani ya bendi hiyo aliwataja wasanii hao kuwa ni Zena Mohamedy, Mariam B.S.S na Mariam Hamdani. 
Mariam B.S.S.
Sababu kubwa ya kusimamishwa kwao taarifa zinasema ni kukiuka masharti ya kambi na baadhi yao kwenda kulala nje na wanaume zao!, 

Taarabuzetu ilimtafuta Thabit Abdul ambae alikili kusimamishwa kwa wasanii hao akisema ni kwa utovu wa nidhamu tu!.

7 comments:

Anonymous said...

Duh eti msanii.kioo cha jamiii

Anonymous said...

Tabia zao mbaya km wanawapenda sn hao waume zao wangebaki majumbani mwao

Anonymous said...

Jaman ii nayo kali sasa uko walikoenda walisafiri nao au hao waume zao waliwafuata km ni wivu wa waume zao me naona ni ujinga tu ona sasa wamewaponza wake zao ila ni vzl discipline iwe mfano kwa wengine

Anonymous said...

Uyo Mariam BSS nae hajaacha tabia zake mbaya me nilijua kwa kuwa ameolewa ataacha kumbe kunguru hafugiki anamtia doa mumewe na familia ya uyo mumewe mboan aibu huyo mumewe ataweka suara yake wapi mana kwanza alikuwa hatakiwi kalazimisha ndoa haaaaaaaa

Anonymous said...

Haaaaa BSS nomaaa acha umalaya fanya kazi bwana saivi jiheshim usimtie doa mumeo kumbuka kuna............

Anonymous said...

Me nilikuwa nampenda sn BSS kumbe nae hana mana nyooo umenikeraaaaaa

Anonymous said...

Jamani me nilikuwa sijaingia humu siku nyingi ii hbr imeniuma san lkn mbona wenzake kwenye shoo nawaona ila BSS cjamuona vp yy hajarudishwa au ndo izo jeuri zake

Post a Comment