TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, October 15, 2013

BI AFUA SULEIMAN:- SIWAJUI HAO KUMEKUCHA MODERN TAARABU.

Bi Afua Suleiman.
Kila kukicha katika tasnia ya taarabu kumekuwa kukiibuka bendi mpya mbalimbali na yote ni katika kujitafutia ridhiki na kutoa burudani kwa wapenzi, Lakini kumeibuka kamtindo kadogo kabaya sana! hizi bendi zinazoanzishwa zimekuwa zikitumia majina makubwa ya wasanii katika matangazo yao kwamba watakuwepo au huyo msaani ni mmiliki wa bendi hiyo jambo ambalo si kweli. 

Kuna hii bendi inaitwa Kumekucha Modern Taarabu "Masupastaa wa town" wameandika katika matangazo yao kuwa bendi hii ipo chini ya BI AFUA SULEIMAN jambo ambalo sikweli kwani Bibi huyu amekana hawafaham kabisa.

1 comments:

Unknown said...

jamani Afua Suleiman ni wengi au ni huyu mmoja tu!!!!.... nyie pia mapaparazi muulizie habari kwa ufasaha sio mukisikia majina yamefanana basi munajijazia tu habari..

Post a Comment