TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, October 4, 2013

MKURUGENZI WA DAR MODERN TAARABU, AENDA HIJJA...!

Baadhi ya wasanii wa Dar Moder Taarabu.
Bosi wa bendi ya Dar Modern Taarabu, Mr Abdallah Feresh ameenda Hijja kwenda kutimiza moja ya nguzo za dini ya kiislam.

Akizungumza na mtandao huu makini wa taarabuzetu.blogspot.com msanii kiongozi wa bendi hiyo ambae hakupenda kutajwa jina lake sababu yeye si msemaji wa familia, amesema kwamba hii ni ndoto ya siku nyingi ambayo alikuwa nayo bosi wao Abdallah Feresh, wakati huo huo wadau wa taarabu walimpongeza sana Feresh kwa maamuzi yake ya busara na kuwashauli wakurugenzi wengine wa bendi za taarabu kuiga mfano bora ulioonyeshwa na mkurugenzi wa Dar Modern Taarabu.

1 comments:

Unknown said...

Mabruk.. lakini akae akijua itabidi akirudi ukurugenzi auache ajikurubishe zaidi kwa Mola wake. in sha Allah na sisi Mungu atujaalie tuwe ni wenye kutimiza nguzo hii ya tano katika dini ya kiislam

Post a Comment