TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, October 10, 2013

MAFIA MODERN TAARABU NA V.I.P. MODERN TAARABU, NI LIPI JINA SAHIHI KWA 5 STAR'S?.

 Wasomaji wetu leo bado tunaendelea kuwaletea mchakato wa kubadilishwa kwa jina la bendi ya 5 Stars, Siku ya jana kikao kiliendelea na wajumbe wa kamati waliendelea kujadiliana ni jina lipi haswa litakuwa mrithi sahihi wa 5 Star's?.

Habari za uhakika kutoka ndani ya kikao hicho zinasema kuna mvutano mkubwa unaendelea, baadhi ya wajumbe wanapendekeza ni bora bendi iitwe Mafia Modern Taarabu na kuna wengine wanapendekeza nibora iitwe VIP Modern Taarabu. 

Bado mvutano mkali baina yao unaendelea muafaka bado, tuendelee kusubiri.

6 comments:

Anonymous said...

V.I.P. Ndo inapendeza kwakweli, lakini hiyo MAFIA wala hata maana yake nn...

Anonymous said...

VIP jamani 5Stars tupeni rahaaaa...

Anonymous said...

Wimbo wa hanifa maulid makavu live jaman, v.i.p ndo mpango

Anonymous said...

Vip

Anonymous said...

sharks modern taarab

Anonymous said...

Me VIP

Post a Comment