TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, September 9, 2013

5 STAR'S KUINGIA STUDIO JUMANNE SAA 4 ASUBUHI...

 Bendi ya 5Stars Modern Taarabu inatarajia kuingia studio siku ya Jumanne ya wiki ijayo kurekodi nyimbo zao 3 mpya kali. 

Akizungumza na mtandao huu Director Wa Bendi hiyo Thabit Abdul alizitaja nyimbo hizo kuwa ni "Mlupo wa Kitaa" muimbaji Maua Tego. 
"Mwamvuli wa kheri" muimbaji Zena Mohamedy.
"Relax Honey" muimbaji Hammer Q. 

Tunategemea kutoa nyimbo nzuri sana ambazo wapenzi watafarijika na kujua kwamba 5Stars ni watu wa aina gani.

0 comments:

Post a Comment