TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, September 2, 2013

BREAKING NEWS:~ MGENI KISODA AACHA KAZI JAHAZI MODERN TAARABU...

 Mgeni Kisoda ameacha kazi leo hii tarehe 2 Septemba 2013 katika bendi yake ya Jahazi.

Mpiga kinanda maarufu ambae amepiga kinanda katika wimbo mpya wa Mzee Yusuph uitwao "Wasiwasi wako ndio maradhi yako" ameiacha rasmi bendi hiyo na kusema atakuwa bize na shughuli zake kurekodi katika studio anayoimiliki ya "Mgunda recording" iliyopo Tandika. 

Akizungumza na mtandao makini wa taarabuzetu.blogspot.com mgeni alisema kwamba ameamua kuacha kazi baada ya kutengwa na bosi wake Mzee Yusuph kwa maneno ya kuambiwa kwamba eti alionekana pale Twanga Pepeta akipiga kinanda jambo ambalo amelikanusha. 

Sina tatizo na Mzee nimeamua kuacha kazi mwenyewe na kufanya shughuli zangu.

NA HIKI NDICHO ALICHOANDIKA KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK.

0 comments:

Post a Comment