TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, September 2, 2013

WIMBO WA "NZI WA KIJANI" WA FUNGA KAZI MODERN TAARABU WAPOTEA KIMAAJABU STUDIO..

 Ni wimbo uliokuwa umerekodiwa tiyari cha ajabu hauonekani, umefutwa au ni nini hasa!?
 
Maswali mengi ambayo hayapati majibu kwa haraka na kutokuamini.
Inzi wa Kijani ni wimbo mpya kabisa toka katika bendi ya Fungakazi Modern Taarabu, pia ni wimbo unaosemekana kwamba ni dongo kwa superstar mmoja hapa mjini kwa mujibu wa mkurugenzi mwenyewe ambae ni Kapten Temba, lakini ajabu ni kwamba wimbo huo baada ya kurekodiwa tayari studio ulipotea katika mazingira ya kutatanisha jambo ambalo lilimshangaza Kapten Temba! 

Lakini katika kuonesha kwamba amedhamilia ujumbe ufike kwa jamii Kapten Temba ameihama studio hiyo na kwenda kurekodi tena wimbo huo huo katika studio nyingine iliyopo maeneo ya Temeke.

0 comments:

Post a Comment