TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, September 5, 2013

HASSAN VOCHA MGUU NDANI MGUU NJE G5 MODERN TAARABU...

Hassan Vocha.
Lile sakata la muimbaji wa bendi ya G5 Modern Taarabu Hassan Vocha kutaka kuelekea katika bendi ya Kings sasa limeingia katika sura mpya. 

Jana Jumatano katika ukumbi wa MAX HALL Ilala ilipokuwa inapiga bendi ya Supershine alikutwa Hassan Vocha na kiongozi mmoja wa Kings jina kapuni wakiwa ndani ya gari aina ya RAV 4 wakizungumza kwa usiri mkubwa sana. 

Mwandishi wa habari hizi alipowasogelea na kuwasalimu Hassan alimuomba asiripoti habari hii sababu bado hawajakubaliana na mnene huyo! na pia juzi tu amemaliza shooting ya nyimbo yake mpya.

1 comments:

Anonymous said...

Jaman humu naona habar za io g5 kwan vp?mbn kuna makund meng2 ya taarab

Post a Comment