TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, September 2, 2013

MWINJUMA MUUMIN KUREKODI WIMBO WA TAARABU NDANI YA G5 MODERN TAARABU...

Mwinjuma Muumini.
Unaweza kuona kama ni kiroja lakini yote hii ni sanaa! 

Katika kile kinachoonekana kama wasanii wa dansi wanajiingiza katika tasnia ya Taarabu, Mwinjuma muumini au Kocha wa Dunia, nae karibu atatoa wimbo mmoja ndani ya G5 Modern Taarabu ili kuwathibitishia mashabiki kwamba yeye ni msaani wa ukweli na wala hatishwi na waimbaji wa Taarabu waliomtangulia. 

Akilithibitisha hilo mkurugenzi wa bendi ya G5 Hamisi Slim alisema kwamba mpango huo alikuwa nao muda mrefu sana na kwa sasa mashabiki wa G5 wasubiri radha toka kwake.

0 comments:

Post a Comment