TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Wednesday, September 25, 2013

BREAKING NEWS:- THABIT ABDUL AACHA UKURUGENZI NDANI YA MASHAUZI CLASSIC...!!

Thabit Abdul "Jiko la Jela".
Mpiga kinanda maarufu Thabit Abdul au Jiko la Jela wa bendi ya 5 Stars leo tarehe 25/9/2013 ametamka rasmi kuachia ngazi ukurugenzi ndani ya bendi ya Mashauzi Classic.

Ufuatao ni ujumbe ambao ameutuma Thabit Abdul ndani ya ofisi zetu:- "Leo natangaza rasmi kuwa nimeacha Ukurugenzi ndani ya Mashauzi Classi, sababu sipati faida yakuwa mkurugenzi zaidi ya kupoteza muda wangu nakutengenezea watu tu maisha!". 

Thabit abdul pamoja na kwamba aliihama bendi ya Mashauzi, lakini aliendelea kuwa ni miongoni mwa wakurugenzi wa bendi hiyo.

3 comments:

Unknown said...

ina maana sasa hayupo tena mashauzi au?

Anonymous said...

Ilo jbu kaka mbona habar inajieleza

Anonymous said...

Baby umeacha mashauz ,,,,,,, majanga

Post a Comment