TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, September 20, 2013

THABIT ABDUL:~ ALLY STAR HANA JIPYA, ALITISHA ZAMANI.

Thabit Abdul (Jiko la Jela).
 Director wa 5 Stars na mpiga kinanda mwenye njaa naweza kumuita hivyo Thabit Abdul jiko la jela ameyatupa maneno wakati alipokuwa akihojiwa na MWANAISHA SULEIMAN wa redio 5. 

Thabit alisema Ally Star kwanza sio muasisi wa mtindo wa taradance kama anavyojinadi katika vyombo vya habari ila anataka umaarufu tu. 

Ila kiukweli yeye ni zilipendwa hana jipya, aliendelea kusema kwamba yeye ndio muasisi wa mtindo huo wa taradance kila MEDIA inalitambua hilo. 

Kwa upande wake Ally Star alipopigiwa simu alisema yeye ndio kila kitu juu ya style hiyo na ameianzisha mwaka 1985!.

1 comments:

Anonymous said...

Kwa maana hiyo hawa wanajisifia upotoshaji wa Taarab?pia hao wote sio waanzilishi wa mtondo huo kuina mtu anaitwa Abdalla Isa ndio atioazisha mtindo huo yeye ni mtunzi muimbaji na anatayarisha miziki wakati ameamzisha mtindo huo Thabiti hajaanza hata huo mziki wenyewe na ananyimbo nyingi sana ameimba kwa mtindo huo

Post a Comment