TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, September 29, 2013

MZEE YUSUPH AJA KIVINGINE...

Mzee Yusuph. Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarabu.
Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarabu Mzee Yusuph, amewaambia mashabiki na wapenzi wa bendi yake kwamba wajiandae kwa mambo mazuri toka katika bendi yake kwani albam atakayotoka nayo sasa hivi itakuwa tofauti na walivyo mzoea, 

Alikuwa akiyazungumza hayo wakati alipokuwa anafaya mahojiano na mtangazaji aitwae FROZA MHANDO wa redio free mwanza katika kipindi cha taarabu, amesema albamu yake sasa hivi itabebwa na wimbo usemao "CHOZI LA MAMA NI LAANA LINAPOTOKA KWA MWANA!", huu ni wimbo wenye mahadhi tofauti na walivyo nizoea! sitoimba mapenzi tena nimewaachia wengine waendelee kuimba.

7 comments:

Anonymous said...

Kuzidiwa kubaya sana hanalolote t moto imemkaba tu hana ujanja

Anonymous said...

Eti t moto imemkaba?bdo sn tena sn wanatamba na nymbo 1 tu.mkitaka mctake jahaz iko juu

Anonymous said...

T motto ndo nn? We co mdau, sasa hao uaowaita t motto wako wap? Mzee atoe wimbo nao ndo watoe..... Jahazi daima MBELEEE na muwaache walaleeee.

Anonymous said...

Sanaa nikujibizana na ndipo ushindani unapo patikana. Na hiri harikuanza leo

Anonymous said...

Saana kujibizana nikawaida na majibizano hayakuanza leo

Anonymous said...

MZEE YUSUPH AMEZUNGUMZA NA KOLETA SIO FROZA REKEBISHA

Unknown said...

T-moto ndio kijududu gani hicho wewe unaenda kufananisha panya na ng'ombe aliyenona? wa wapi wewe? heeeee natamani ningekuona mtu mzima hovyoooooooooo mambo yote JAHAZI BWANA

Post a Comment