TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, September 2, 2013

ZAINABU MACHUPA AJIUNGA NA G5 MODERN TAARABU..

-->
Ashura Machupa akiimba, kushoto nyuma (Nguo Nyeusi) ni Zainabu Machupa.
 Muimbaji wa kutegemewa wa Fungakazi Modern Taarabu, Zainabu Machupa amejiunga na bendi ya G5 Modern Taarabu. 

Akizungumza na mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com msanii kiongozi wa bendi hiyo ambae hakupenda kutajwa jina lake amesema kwamba Zainabu ni msanii mzuri ndio maana tumeamua kumchukua. 

Zainabu Machupa alikuwa katika bendi ya Fungakazi Modern Taarabu na ameimba nyimbo 2. 

Mkurugenzi wa Fungakazi Kapteni Temba hakupatikana kuzungumzia suala hili.

0 comments:

Post a Comment