TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, September 2, 2013

KAMONGO AIHAMA KING'S MODERN TAARABU...


Ibrahimu Kamongo.
 Mpiga kinanda wa kutumainiwa wa bendi ya Kings Modern Taarabu Ibrahimu Kamongo ameihama bendi yake hiyo na kujiunga na bendi ya Mashauzi Classic. 

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Kiongozi mkuu wa wasanii katika bendi hiyo ya Mashauzi Classic alilithibitisha hilo na kusema kwamba Kamongo ni kama amerudi nyumbani tu! Kwani kabla hajakwenda huko Kings alikuwa ni msanii wa bendi yetu ya Mashauzi Classic. 

Kwa mara ya kwanza tangia kurejea katika bendi hiyo Kamongo alionekana akipiga kinanda katika show ya Mashauzi pale kwenye ukumbi wa Mango Garden Kinondoni Dar.

0 comments:

Post a Comment