TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, September 24, 2013

JUMANNE ULAYA:- JAHAZI NIPENI MILIONI 15 TUVUNJE MKATABA 5 STARS...

Jumanne Ulaya.
Aliekuwa mpiga solo wa kutegemewa wa Jahazi Modern Taarabu lakini kwa sasa yupo 5 Stars Jumanne Ulaya imeripotiwa na tovuti moja kwamba bendi yake hiyo ya zamani ipo katika mipango ya kumrudisha tena kundini kwani safu ya wapigaji magita imepwaya sana. 

Akizungumza na mwandishi wa tovuti hii J4 alisema hata mimi taarifa hizo zimenifikia na kwakuwa muziki mimi ndio kazi yangu basi Jahazi wanipatie milioni 15 tu ili tuvunje mkataba hapa 5 Stars nilipo kwa sasa, mimi Jahazi bado naipenda na niliondoka sababu ya maisha tu kujaribu sehemu nyingine.

3 comments:

Anonymous said...

Naomba nyimbo ya hanifa maurid -makavu live na mwanahawa chipolopolo -dunia duara,

Anonymous said...

mbona nyimbo nyingine hamuweki kama ropokeni yanayowahusu

Anonymous said...

Amakweli msemo usemao usimtukane mamba kabla hujavuka mto,jahaz ilimsema sana j4 ktk vyombo vya habari kua hana uwezo mbele ya mauji leo imekuaje?kiwango kimepanda?hiyo roho ya mfamaji!

Post a Comment