TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, September 5, 2013

THABIT ABDUL AMSAIDIA YOUNG HASSAN ALLY KATIKA "MR PENDWAPENDWA".

Hassan Ally na Thabit Abdul.
Mr Pendwapendwa ni wimbo mpya kabisa ambao kwa sasa upo jikoni ukiandaliwa vyema kwa wapenzi wa Young Hassan Ally na Kings kwa ujumla. 

Katika kuuandaa wimbo huo Thabit Abdul au jiko la jela ndio ambae ameteuliwa kupiga kinanda katika wimbo huo, mwanzoni kabisa ilipendekezwa kinanda kipapaswe na Omary Kisila au Ibra Kamongo lakini baadae turufu ilimwangukia Thabit Abdul baada ya Kamongo kuacha bendi ya Kings na kuhamia Mashauzi Classic, nae Kisila kwa sasa yupo bize katika studio yake akifanya kazi ya recording. 

Hassan Ally wadau wanaisubiri hiyo nyimbo kwa hamu kubwa...

0 comments:

Post a Comment