TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Wednesday, August 7, 2013

COAST MODERN TAARAB, YATOA RATIBA YA IDD...

Mkurugenzi wa Coast Modern Taarabu, Omary Tego.
 Bendi ya Coast Modern Taarabu inatarajia kufanya show ya kukata na shoka siku ya IDDI MOSI ndani ya ukumbi wa BIG BROTHER - Kitunda Machimbo. 

Siku ya IDD PILI watafanya show IKWIRIRI katika ukumbi wa SERENGETI BAR. 

Akizungumza na mtandao makini wa taarabuzetu.blogspot.com Mkurugenzi wa Bendi hiyo Omary Tego alisema kuwa wapenzi wa maeneo hayo wajiandae kupata burudani ya nguvu na nyimbo mpya kabisa toka kwao. 

Hivi karibuni Omary Tego alizindua video ya wimbo wake mpya uitwao SURPRISE na hakuna mtu alielipa kiingilio katika uzinduzi huo.

0 comments:

Post a Comment