TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, August 12, 2013

JAHAZ MODERN TAARABU IMERUDI LEO TOKA MOROGORO NA INAKWENDA UNGUJA MOJA KWA MOJA...

Baadhi ya wasanii wa Jahazi Modern Taarabu

Bendi ya Jahazi Modern Taarabu leo hii imeingia Dar ikitokea mkoani Morogoro ambapo jana siku ya IDDI tatu ilifanya show ya nguvu na kujaza umati wa watu.

Jahazi leo hii inaunganisha moja kwa moja visiwani Zanzibar ambapo leo hii wanatarajia kufanya show pia. 

Akizungumza na mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com Mpiga besi wakutumainiwa wa Bendi hiyo Mussa Mipango alisema "hatuna muda wa kusubiri sisi tupo kikazi zaidi na hii ndio kawaida yetu sisi kazi kwanza mambo mengine baadae". 
Jahazi ndio bendi inayofanya vizuri sana katika Taarabu nchini.

0 comments:

Post a Comment