TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, August 6, 2013

YOUNG HASSAN ALLY AMEKUTANA NA JINI LIVE...!!

 
Hassan Ally wa King's Modern

Unaweza kuona ni kama ndoto za alinacha lakini kweli na wala sio hadithi. 
Muimbaji wa Kings Modern Taarabu, Young Hassan Ally amepiga simu katika chumba chetu cha habari na kusema kwamba usiku wa tarehe 3 mwezi huu wa Agosti, aliota amekutana na mwanamke asiemfahamu lakini hakumwambia chochote kile zaidi yakumchekea tu...!! 
Sasa ajabu siku ya tarehe 4 amestaajabishwa baada ya kukutana na yule mwanamke "LIVE" na pia hakuwa akisema chochote zaidi ya kucheka tu, anaendelea kusema kuwa amekutana nae zaidi ya mara 3 na sehemu tofauti kitu kinachomfanya aamini kwamba yule ni jini wakike.

Kaka napata tabu sana kuanza kumfikiria huyu niliyekutana naye, vitu kama hivi nilikuwa navisona tu na kuhadithiwa, hapa nilipo kwanza sina na imani karibu na kitu chochote kutokana na hofu...!

3 comments:

Unknown said...

makubwa

Anonymous said...

Hahahahahaha

Anonymous said...

HUO MKOROGO MTOTO WA KIUME NDO KININI ETI HIKO?????

Post a Comment