TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, August 6, 2013

Ratiba ya MASHAUZI CLASSIC KWA IDD 1 MPAKA 6...

 
Hashim Said "Mzee wa Majanga"

Bendi ya Taarabu inayobamba sana kwa sasa hapa mjini ya Mashauzi Classic imetangaza Ratiba yake nzima ya IDD.

Akizungumza na mtandao huu Muimbaji mwenye Kipaji cha kipekee na sauti ya kuvutia mashabiki Hashim Said "Mzee wa Majanga" alipenda kuwapa mashabiki wa Mashauzi ratiba ya IDD kama ifuatavyo:-


Eid mosi MOROGORO UKUMBI WA COMPLEX 
Eid pili MBEYA UKUMBI CITY PARK MWANJELWA 
Eid tatu MAFINGA UKUMBI WA GOLDEN HALL 
Eid nne IFAKARA UKUMBI JAMOS CENTRE 
Eid tano MKAMBA KILOMBERO UKUMBI WA SOCIAL HALL kisha tutamalizia shangwe za eid mjini KILOSA UKUMBI WA BABYLON. 

Hiyo ndio ratiba rasmi ya Eid kwa MASHAUZ CLASSIC. Alimaliza na kuwaomba mashabiki wote kukaa mkao wa Burudani, "kwani sisi tunawazungukia kwa ajili ya kuwaletea burudani tu".

1 comments:

Super D (Mnyamwezi) said...

PICHA MAMBAYO UJAPIGA WEWE UPASWI KUANDIKA JUU SIO YA KWAKO EHEEE

Post a Comment