TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, August 2, 2013

HAPPY BIRTHDAY HAMMER Q...!!

MSANII HAMMER Q LEO TAREHE 2/8/2013 NI SIKU AMBAYO ANA KUMBUKA KUZALIWA KWAKE. 

NI FURAHA ILIYOJE KWAKE NA KWA FAMILIA YAKE KWA SIKU HII MAALUM. HAMMER Q LEO ANATARAJIA KUTOKA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWENDA UFUKWENI MWA BAHARI YA HINDI KUSHEREHEKEA KWA PAMOJA. 
MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WA MTANDAO MAKINI WA taarabuzetu.blogspot.com KWA PAMOJA TUNATOA PONGEZI KWA HAMMER Q NA TUNA MUOMBA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU. 

"HAPPY BIRTHDAY HAMMER Q".

HAMMER Q KWA SASA NI MUIMBAJI WA BENDI YA 5 STARS NA ANA WIMBO MPYA AMBAO ANATARAJI KUINGIA STUDIO VERY SOON, 
WIMBO ITAITWA "RELAX HONEY". TUSUBIRI KUUSIKIA WIMBO HUO TOKA KWAKE.

0 comments:

Post a Comment