TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, August 18, 2013

UZINDUZI WA MASHAUZI PUB KATIKA PICHA, WASANII NA WADAU KIBAO WA TAARABU...!!

Kaptaini-Temba-&-Mkurugenzi wa Mashauzi Pub, Mama-Shija wakiweka pouse kwenye kamera ya Taarabu Zetu katika uzinduzi wa Mashauzi Pub jana 17 August maeneo ya Vingunguti Dar es Salaam.
Kaptaini-Temba akitoa Burudani...
Mdau mkubwa-Mama-Zeka.. alikuwepo kushuhudia uzinduzi.
Nyawana,-Mama-Shija-&-Mc-Jojoo
Nyawana akitoa burudani...!
Mdau mama Double S akiwa na wadau wengine...
Queen-Salma mwimbaji wa Supershine alitoa burudani.
Papaa-Rajabu-na-Mdau mwingine wakipouse kwa Kamera ya Taarabu Zetu...

0 comments:

Post a Comment