TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, August 1, 2013

SUPERSHINE MODERN TAARAB KUANZA MAZOEZI RASMI RAMADHAN 27.

 Bendi ya Supershine Modern Taarabu ya jijini Dar-es-Salaam, inatarajia kuanza rasmi kambi ya mazoezi kwa ajiri ya maandalizi ya sikukuu ya IDDI. 
 Akizungumza na mwandishi wa taarabuzetu.blogspot.com Mkurugenzi wa Bendi hiyo DR NOH! amesema amewapa likizo ya muda mrefu wasanii wake ili waweze kufunga vyema Ramadhan na kufanya maandalizi ya sikukuu ya IDD, Mpaka sasa bendi yangu haina mabadiliko yoyote kuanzia wapigaji mpaka waimbaji wote wapo na hakuna alietoka au kuhama bendi. Supershine ni chuo cha mafunzo, wasanii wengi wamepitia katika bendi hii.

0 comments:

Post a Comment