TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, August 1, 2013

MHINA PANDUKA "TOTO TUNDU", BAADA YA KUTAMBA KWENYE DANSI...

 
"Mhina Panduka "Toto Tundu"

Muimbaji maarufu wa dansi kwa miaka mingi. Mhina Panduka "Toto Tundu" ameamua kugeukia muziki wa Taarabu baada ya kuona soko la dansi limeporomoka kwa sasa. 

Toto Tundu ambae alipitia baadhi ya bendi za dansi kama Vijana Jazz, Washirika Stars "watunjatanjata" na nyingine nyingi, kwa sasa ndio mwalimu wa sauti katika bendi ya taarabu ya G5 Modern Taarabu yenye maskani yake Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar!. 
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Toto Tundu amesema kwamba ameitwa na Mkurugenzi wa G5 Mr. Slim ili kusaidia vijana upande wa sauti.

0 comments:

Post a Comment