TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Saturday, August 3, 2013

"SHETANI KATAJA JINA" YA NYAWANA...

Nyawana Fundikira
 Muimbaji wa kike ambae ni "Solo artist" Nyawana Fundikira yupo katika maandalizi ya kutoa wimbo wake uitwao Shetani kataja jina akiwa chini ya Director wake Thabit abdul. 


Akizungumza na taarabuzetu.blogspot.com Nyawana alisema, wimbo wangu huu ni moto wa kuotea mbali kwani hata wanaoshiriki kunipigia vyombo ni watu wanaojua nini maana ya taarabu. 
Kinanda ananipigia Thabit abdul, gitaa la besi atanipigia Mussa Mipango na gitaa la solo atapiga Ramadhan Kisolo "Mwana Malui". 
Hiki ni kikosi cha hatari Very soon nitakwenda kuirekodi kwa Enrico TMK.

0 comments:

Post a Comment