TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Wednesday, August 14, 2013

FUNGA KAZI MODERN TAARABU KUACHIA NYIMBO MBILI KALI...

Funga Kazi Modern Taarabu.
 Bendi ya Funga kazi Modern Taarabu ya jijini Dar inatarajia kuachia nyimbo zao mbili mpya kali katikati ya wiki ijayo. 

Akizungumza na mwandishi wa mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com Mkurugenzi wa bendi hiyo Kapteni Temba alisema kwamba Bendi yake itaachia nyimbo mbili ambazo ni:- 
1. "Una nini Nzi wa kijani" iliyoimbwa na Ashura Machupa na ya pili ni 
2. "Muungwana haumbuki hata avuliwe nguo" Iliyoimbwa na Wahida Daddy. 

Hizo nyimbo ni hatari ndugu mwandishi nawaomba wapenzi wa muziki wa Taarabu kujiandaa kupata kitu kizuri, mara nyingi huwa hatubahatishi.

1 comments:

Unknown said...

kaptemba temba tunasubiri vitu vyako... napenda sana utunzi wako wa ufyozi na ufidhuli wa hali ya juu

Post a Comment