TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, August 1, 2013

OMARY KISILA ATOA SOMO KWA WASANII CHIPUKIZI.

Mpiga kinanda namba moja wa bendi ya T MOTTO Modern Taarabu Omary Kisila amewaasa wasanii chipukizi kufuata kanuni na utaratibu uliowekwa katika bendi zao na kuacha kuvimba kichwa kisa tu kafanikiwa kurekodi wimbo mmoja, wasanii wengi wa taarabu siku hizi wanalewa sifa na kujikuta wanapotea mapema sana katika tasnia hii. Wakati wa enzi za akina Bi Sihaba Juma, Zuhura Shabban, marehemu Haji Mohamedy kulikuwa hakuna hayo mambo yao. 

"Ili ufanikiwe katika Taarabu ni lazima uwe na nidhamu na kujituma katika kazi ndio siri ya mafanikio ya msanii yeyote yule", alimalizia Hongera sana.

0 comments:

Post a Comment