TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, August 8, 2013

Supershine Modern Taarabu wakiwa Mazoezini kujiandaa na shangwe za IDD...

Ally Mkopi, Shaban Madobe na Hassan-Zumo wakiwa katika maandalizi makali ya IDD. Ambapo Idd Mosi watakonga nyoyo za wapenzi wa Taarabu pale Ilala katika Ukumbi wa Max Bar. Ni show nzuri na wala si ya kukosa kwani wamejipanga vilivyo...!!!
Waimbaji Nyota wa Supershine, Naima Yusuph, Nuru Moshi na Mosi Abdul wakiwa mazoezini kwa maandalizi ya sikukuu ya Idd.
Supershine wakiwa katika maandalizi ya Idd.
Abdalah Haji.(Bwigabwiga) akiwa makini na kazi yake
Ally Mikidadi atakonya vilivyo nyoyo za wapenzi wa taarabu siku ya Idd!!
Hassan Zuma na Zainab Mteza wakiwa tiyari kabisa kwa burudani ya ukweli...
Shabani Madobe. Mtaalamu na Mkongwe katika gemu hili ataburudisha vya kutosha.
Salehe Mussa. Hapa inajieleza kazi yake ni moja tu...
Nuru Moshi. Sauti nzuri, burudani mwanzo mwisho...
Naima Yusuph. Ataonesha maajabu katika sauti yake, Utaipenda...

0 comments:

Post a Comment