TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, August 4, 2013

ZENA MOHAMEDY, AJA NA "MWAMVULI WA KHELI"...!

Zena Mohamed
 Muimbaji mwenye sauti isiyoisha hamu Zena Mohamedy wa 5Star Modern Taarabu safari hii anakuja na wimbo "Mwamvuli wa Kheri". 

Zena aliuambia mtandao huu kuwa, wimbo huo ni utunzi wake Director wa bendi hiyo Thabit Abdul, sauti pia imewekwa nae Thabit Abdul, kinanda pia kimepigwa nae Thabit abdul. 

Zena aliwaomba mashabiki wake kusubiri kitu kizuri kwani tayari ameshafanyia mazoezi na baada ya muda mchache kitarekodiwa. 
Meneja wa bendi hiyo Mr Farid Lugusha alisema kwamba 5 Stars ya sasa ni moto wakuotea mbali kwani imetimia kila nyanja wapenzi wasubirie vitu vizuri vinakuja very soon...

0 comments:

Post a Comment